Mapokezi ya Kifahari ya KARDINALI RUGAMBWA baada ya kutua Tanzania JNIA | Dk. MPANGO aongoza Msafara
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
Mapokezi ya Kifahari ya KARDINALI RUGAMBWA baada ya kutua Tanzania JNIA | Dk. MPANGO aongoza Msafara
9 452 просмотра · 2 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
9 452 просмотра · 2 года назад
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango, amewaongoza viongozi na waumini mbalimbali katika mapokezi ya Mwadhama Kadinali Protase Rugambwa, aliyerejea nchini leo Ijumaa Oktoba 5, 2023 akitokea Vatican ambapo alipewa hadhi ya Ukardinali na Baba Mtakatifu Francis siku ya Jumamosi Septemba 30.