E/HABARI KAMILI SEPT 190G - NDEJEMBI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MTO NG’OMBE
EFM TANZANIA
0:00 / 0:00
E/HABARI KAMILI SEPT 190G - NDEJEMBI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MTO NG’OMBE
35 просмотров · 6 часов назад
EFM TANZANIA
221 тыс. подписчиков
35 просмотров · 6 часов назад
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameelekeza Mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha Mto Ng’ombe, uliopo Tandale unasafishwa na taka zilizorundikana kandokando ya Mto huo zinaondolewa haraka na mazingira yanaendelea kuwekwa katika hali ya usafi.