Misingi 3 Ambayo Kila Muislamu Anapaswa Kuijua || Imam Salim Koja
Halaal Charity Tv
0:00 / 0:00
Misingi 3 Ambayo Kila Muislamu Anapaswa Kuijua || Imam Salim Koja
185 просмотров · 5 дн. назад
Halaal Charity Tv
5,21 тыс. подписчиков
185 просмотров · 5 дн. назад
Katika darsa hii, tunajadili Misingi 3 Ambayo Kila Muislamu Anapaswa Kuijua kupitia kitabu Usūl ath-Thalāthah (Misingi Mitatu). Darsa linaeleza kwa ufupi na kwa uelewa mambo muhimu yanayohusu kumjua Allah, kuifahamu Dini ya Uislamu na kumjua Mtume Muhammad ﷺ.
Ni darsa muhimu kwa kila Muislamu anayetamani kuimarisha uelewa wake wa Aqidah na misingi ya Dini.
Tazama hadi mwisho, jifunze na ushirikishe wengine ili nao wanufaike.
#UsulAthThalathah #MisingiMitatu #Uislamu #Aqidah #Darsa #HalaalCharityTV