Перейти к содержимому

9.Jinsi ya Ku-Cast Data Types na Ku-Assign Variables katika Python

Science & Code Hub

0:00 / 0:00

9.Jinsi ya Ku-Cast Data Types na Ku-Assign Variables katika Python

41 просмотр · 2 недели назад
Science & Code Hub
138 подписчиков
41 просмотр · 2 недели назад
Karibu kwenye Day 9 ya kozi yetu ya Python Programming! 🚀 ​Katika somo hili, tutajifunza mbinu mbili muhimu sana katika uandishi wa kodi: Type Casting (kubadili data type moja kwenda nyingine) na njia mbalimbali za Assigning Variables ili kurahisisha uandishi wako wa kodi. ​📌 Utakachojifunza Siku ya Leo: ​Type Casting: Jinsi ya kubadili String kuwa Integer au Float (na kinyume chake) ukitumia int(), str(), na float() ​Implicit vs Explicit Casting: Tofauti ya Python kujibadilishia data yenyewe na pale unapomuelekeza badiliko ​Multiple Assignment: Jinsi ya ku-assign value moja kwenye variables nyingi kwa wakati mmoja (mfano: x = y = z = 10) ​Unpacking Assignment: Ku-assign values tofauti kwenye variables tofauti kwa mstari mmoja (mfano: a, b, c = 1, 2, 3) ​Mifano ya vitendo na makosa ya kawaida (ValueError) unayotakiwa kuepuka kwenye VS Code ​ ​💬 Jiunge na WhatsApp Channel Yetu: Kupata updates, mafunzo zaidi, na kuwasiliana na jamii yetu, bofya hapa: https://chat.whatsapp.com/CqtKoRRtqJk... ​👉 Usisahau ku-Like video hii, ku-Subscribe kwenye channel ya Science & Code Hub, na ku-Share na wenzako! ​#Python #TypeCasting #VariableAssignment #PythonProgramming #JifunzeCoding #PythonDay9 #ScienceAndCodeHub #TechSwahili