Перейти к содержимому

Wanawake zaidi wasimulia masaibu yao na John Matara

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Wanawake zaidi wasimulia masaibu yao na John Matara

333 155 просмотров · 2 года назад
Citizen TV Kenya
6,67 млн подписчиков
333 155 просмотров · 2 года назад
Siku 4 baada ya kukamatwa kwa mshukiwa mkuu wa mauaji ya Starlet Wahu katika jumba la kukodi eneo la South B, John Matara. Wanawake zaidi wanaodaiwa kudhulumiwa na mshukiwa huo wameendelea kujiwasilisha katika afisi za upelelezi, kuandikisha taarifa. Kulingana na waathiriwa tuliozungumza nao Matara alikuwa akitumia mitandao ya kijamii ya mapenzi kuwahadaa kabla ya kuwatendea unyama na kuwaacha wakiwa hali mahututi.