Перейти к содержимому

DAWA KUMI AMBAZO NI ATARI KWA MAMA MJAMZITO NA HATAKIWI KUZITUMIA KABISA

SukaMedia

0:00 / 0:00

DAWA KUMI AMBAZO NI ATARI KWA MAMA MJAMZITO NA HATAKIWI KUZITUMIA KABISA

130 425 просмотров · 5 лет назад
SukaMedia
49,3 тыс. подписчиков
130 425 просмотров · 5 лет назад
Tunafahamu kuwa dawa hutumika kutuliza na kutibu matatizo mbalimbali, kila tatzo lina dawa yake kutokana na uthibitisho wa vipimo pamoja na ushauri wa daktari hapo matumizi ya dawa hufaa. Kwa muda huu tutaangalia na kuzifahamu dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia, lakini kwa bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiwi kupewa kwa wajawazito kabisa kulingana na madhara makubwa yanayoambatana na dawa hizo kwa mtoto aliyepo tumboni. Usiache kusubscribe na kuturn on notification ili uwe wa kwanza kupata habari mpya. #Afya #Faharimedia #Faharitv