Перейти к содержимому

DC WELLA AAGIZA MIKATABA YA MAKAMPUNI YA KUPITIWA UPYA

Uyui FM Radio

0:00 / 0:00

DC WELLA AAGIZA MIKATABA YA MAKAMPUNI YA KUPITIWA UPYA

113 просмотров · 9 дн. назад
Uyui FM Radio
21,7 тыс. подписчиков
113 просмотров · 9 дн. назад
Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Upendo Wella, amewataka wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Akiba kuwa mabalozi wa amani katika jamii, kwa kuzingatia nidhamu, kuepuka vitendo vya rushwa pamona na wizi. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba yaliyofanyika Kata ya Cheyo, wilayani Tabora, Wella amesema wahitimu hao wanapaswa kutumia elimu na ujuzi walioupata kulinda jamii na kuwa mfano bora kwa vijana wengine. Aidha, ameelekeza mikataba ya makampuni yote ya ulinzi ipitiwe upya ili kubaini na kurekebisha masharti kandamizi kwa walinzi, akisisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha vijana wanapata haki na malipo yanayostahili. Kwa upande wao, baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla hiyo wameeleza kuwa mafunzo hayo yanawasaidia vijana kujenga utimamu wa mwili na akili.