Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 05.11.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 05.11.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

4 952 просмотра · Трансляция закончилась 4 ч назад
DW Kiswahili
338 тыс. подписчиков
4 952 просмотра · Трансляция закончилась 4 ч назад
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 05.11.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast Trump atetea vita vya Iran licha ya matokeo mabaya ya uchaguzi WHO: Watu 1,800 wamekufa kwa kipindupindu nchini Kongo Benki ya Dunia yasema ufisadi unaigharimu Kenya #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #DWKiswahiliAsubuhi /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili. 00:00 Utangulizi 01:00 Trump atetea vita vya Iran licha ya matokeo mabaya ya uchaguzi 02:19 Spika wa Iran asema Wamarekani "wamekataa vita" 03:23 WHO: Watu 1,800 wamekufa kwa kipindupindu nchini Kongo 04:28 Benki ya Dunia yasema ufisadi unaigharimu Kenya 05:24 Zelensky na maafisa wa Marekani wajadili mazungumzo yajayo na Urusi 06:51 Ripoti: Trump Akiri Vita vya Iran Vilichangia Republican Kushindwa Uchaguzini 10:04 Uchambuzi: Ushindi wa Democrats Marekani Una Maana Gani Kwa Afrika? 13:58 Ripoti: Muhoozi Amekuwa na Mamlaka ya Kumshusha Cheo Jenerali Elwelu? 17:04 Kwa Nini Dawa Mpya ya HIV Bado Haijawafikia Wengi Afrika? 20:17 Sudan Kusini Yajiandaa Uchaguzi wa Kwanza, Lakini Maswali Ni Mengi 24:05 Makala ya Wanawake na Maendeleo: Hakuna Umri wa Kusoma: Jinsi Elimu ya Watu Wazima Inavyobadili Maisha Zanzibar 28:45 Hitimisho