Msiba ulioitikisa Zanzibar 2021- Kumbukumbu ya Maalim Seif Sharif Hamad
Zanzibar Kamili TV
0:00 / 0:00
Msiba ulioitikisa Zanzibar 2021- Kumbukumbu ya Maalim Seif Sharif Hamad
4 246 просмотров · 4 г. назад
Zanzibar Kamili TV
85,8 тыс. подписчиков
4 246 просмотров · 4 г. назад
Karibu katika kipindi hiki ambacho kinaangalia matukio makubwa ya kisiasa yaliyojiri visiwani Zanzibar. Na kubwa kuliko yote ni kifo cha aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad. Tunajikumbusha mambo yalivyokuwa na kuitazama historia yake kama mlezi wa taifa, mwanasiasa na kiongozi wa nchi.