Kumbukumbu ya Maalim Seif, Je, Zanzibar ina hali gani kisiasa miaka 5 baada ya kifo chake?
Zanzibar Kamili TV
0:00 / 0:00
Kumbukumbu ya Maalim Seif, Je, Zanzibar ina hali gani kisiasa miaka 5 baada ya kifo chake?
1 205 просмотров · 6 месяцев назад
Zanzibar Kamili TV
85,6 тыс. подписчиков
1 205 просмотров · 6 месяцев назад
Tarehe 17 February miaka mitano iliyopita, kiongozi maarufu na mwanasiasa mkongwe visiwani Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alifariki dunia. Katika video hii, mrithi wake kwenye nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na baada ya Uenyekiti wa chama chake cha ACT Wazalendo anaeleza waliyoyapitia ndani ya kipindi hicho. Mahojiano haya yamefanywa na Idhaa ya Kiswahili ya DW