Перейти к содержимому

EXCLUSIVE INTERVIEW WITH FOOTBALLER SAID GEORGE SAUDE | MR PAUL

80s Vibe Media

0:00 / 0:00

EXCLUSIVE INTERVIEW WITH FOOTBALLER SAID GEORGE SAUDE | MR PAUL

2 543 просмотра · 3 месяца назад
80s Vibe Media
6,35 тыс. подписчиков
2 543 просмотра · 3 месяца назад
EXCLUSIVE INTERVIEW: MFAHAMU SAID GEORGE – ALIYEWATESA SIMBA NA YANGA AKIWA COASTAL UNION! ⚽🎙️ Aliyekuwa nyota wa Coastal Union, SAID GEORGE, amekaa studio na mtangazaji MR PAUL kwa mahojiano maalum ya kukumbuka historia yake ya soka Tanzania Katika interview hii ya kipekee, Said George anazungumzia: ✅ Maisha yake ya soka tangu mwanzo ✅ Klabu mbalimbali alizowahi kuchezea ✅ Mechi ngumu na za kukumbukwa dhidi ya Simba SC na Yanga SC ✅ Changamoto alizokutana nazo kwenye maisha ya mpira ✅ Wachezaji waliokuwa tishio zaidi kwake ✅ Siri za mafanikio yake akiwa Coastal Union ✅ Sababu za kustaafu soka ✅ Maisha yake baada ya mpira 💬 TUAMBIE KWENYE COMMENTS: Ni mechi ipi ya Said George unaikumbuka zaidi? 🔔 SUBSCRIBE kwa mahojiano exclusive, historia za mastaa wa zamani, uchambuzi wa soka la Tanzania, highlights na stories kali za football. 📢 USISAHAU: LIKE 👍 | COMMENT 💬 | SHARE 📲 | SUBSCRIBE 🔔 #SaidGeorge #MrPaul #CoastalUnion #SimbaSC #YangaSC #SokaTanzania #TanzaniaFootball #NBCPremierLeague #FootballInterview #Simba #Yanga #BongoSports #HistoriaYaSoka #TanzaniaPremierLeague #ExclusiveInterview #SportsTanzania #CoastalUnionFC #FootballStories #LegendaryPlayers #TanzaniaSports