🔴#LIVE Ibada ya Kufunga Sabato || Mwenge SDA
Mwenge SDA Church
0:00 / 0:00
🔴#LIVE Ibada ya Kufunga Sabato || Mwenge SDA
307 просмотров · Трансляция закончилась 2 недели назад
Mwenge SDA Church
18,4 тыс. подписчиков
307 просмотров · Трансляция закончилась 2 недели назад
#OneVoice27 #MissionForAll
#sautimoja27 #utumekwawote
#mamboyotemapya
#tumainilinaanziahapa
#seventhdayadventistchurch
#mwengesdachurch
Karibu katika Ibada ya Sabato 26 Septemba, 2026
Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge @mwengesdachurch linawakaribisha waabudu wote katika Afya na Kiasi
Wahudumu:
Mwenyekiti: Nehemia Mshana
Wito wa maombi: Maridadi Phanuel
Fungu Kuu na ombi: Jacob Kihila
Zaka na Sadaka: Godfrey Meche
Somo la Watoto: Abigail John
Hubiri kuu: Mch. Gerald Nyakrere
Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji Gerald Nyakrere +255688779995
Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 754 242 400 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz au sdamwenge@gmail.com
SADAKA YA MAJENGO
Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ).
SADAKA ya MAJENGO:
CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ).
ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ).
Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ). Mungu akubariki.
Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia.
Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye:
Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
Facebook Page: Mwenge SDA Church Live / 1eypizkecr
Instagram: mwengesdachurchlive https://www.tiktok.com/@mwenge.sda.ch...
Mungu akubariki.