Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
Azam TV
0:00 / 0:00
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
6 429 291 просмотр · 4 года назад
Azam TV
3,3 млн подписчиков
6 429 291 просмотр · 4 года назад
KARIAKOO DERBY: Yanga wametwaa #NgaoYajamii kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga Simba kwenye #KariakooDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Magoli yote mawili ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 50 na 81 baada ya Simba kutangulia kwa goli la Pape Ousman Sakho.
Haya hapa magoli yote....