Перейти к содержимому

R.O.M.A Mkatoliki Alivyorudi Darasani Kufundisha Somo la Hisabati

Global TV Online

0:00 / 0:00

R.O.M.A Mkatoliki Alivyorudi Darasani Kufundisha Somo la Hisabati

378 228 просмотров · 9 лет назад
Global TV Online
5,96 млн подписчиков
378 228 просмотров · 9 лет назад
Msanii maarufu wa Tanzania Roma Mkatoliki ametembelea shule ya Msingi Mchikichini iliyopo Mbagala Rangi Tatu na kufundisha somo la Hesabu ambalo alikua akifundisha awali kabla hajawa msanii .Pamoja na kufundisha Roma alitoa msaada wa vitabu vya hesabu kwa wanafunzi wa darasa la saba. Roma anatarajiwa kufanya shoo kabambe Dar Live, Idd Mosi, ikiwa ni mara yake ya kwanza kupanda stejini tangu apatwe mkasa wa kutekwa na kuteswa! Shoo ya Dar Live imepewa jina la #Nishushe Dar Live, itakutanisha mastaa wengine wakali, DARASA, MR BLUE, STAMINA, SNURA na wenine kibao. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublishers   TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpublishers   #DARASA, #MR BLUE, #STAMINA, #SNURA