“SHEMEJI UMETUZINGUA!” MWANYEMBA AMJIBU MCHENGERWA
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
“SHEMEJI UMETUZINGUA!” MWANYEMBA AMJIBU MCHENGERWA
2 291 просмотр · 12 часов назад
TMC NEWS TV
42,4 тыс. подписчиков
2 291 просмотр · 12 часов назад
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, ametoa kauli ya “Shemeji umetuzingua” wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa yaliyofanyika jijini Dodoma.
Kauli hiyo inakuja wakati kukiwa na mjadala ndani ya CCM kufuatia Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, kuibua tuhuma za rushwa katika chaguzi za vijana wa chama hicho.
Katika hotuba yake, Mwanyemba amesisitiza kuwa vijana si muhimu wakati wa uchaguzi pekee, akieleza kuwa wanahitaji kutambuliwa pia katika shughuli za kisiasa na juhudi za kujenga uchumi binafsi. Ameeleza pia kuwa vijana wanajitambua na hawako tayari kuonekana kuwa muhimu wakati wa uchaguzi pekee.
Je, kauli ya “Shemeji umetuzingua” ilikuwa na ujumbe gani katika mjadala huu? Tazama hotuba yake na ujionee mwenyewe.
NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#TMCNews #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews
#TMCNEWS #CCM #UVCCM #AbdulhabibMwanyemba #MohamedMchengerwa #SiasaTanzania #Dodoma #TMCNEWS565TMC