Перейти к содержимому

MAKTABA: KAULI YA KAKA LISSU ENZI ZA UHAI WAKE: "HAKUNA UGOMVI WA MARIDHIANO"

Global TV Online

0:00 / 0:00

MAKTABA: KAULI YA KAKA LISSU ENZI ZA UHAI WAKE: "HAKUNA UGOMVI WA MARIDHIANO"

7 240 просмотров · 21 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
7 240 просмотров · 21 ч назад
MAKTABA: KAULI YA KAKA LISSU ENZI ZA UHAI WAKE: "HAKUNA UGOMVI WA MARIDHIANO" Tazama kauli na mtazamo wa Kaka Lissu enzi za uhai wake akichambua kwa kina dhana ya 'Maridhiano' katika siasa za Tanzania. Katika mahojiano haya ya kipekee kutoka Maktaba ya Global TV Online, Kaka Lissu anahoji msingi wa maridhiano ya kisiasa, tofauti zilizopo kati ya vyama vya upinzani na serikali, pamoja na madai ya mabadiliko ya kikatiba na kisheria. Je, nini maoni yako kuhusu uchambuzi huu wa Kaka Lissu? Tuandikie kwenye uwanja wa maoni hapa chini. Kumbuka kusubscribe, kubonyeza kengele ya taarifa, kulike na kushare ili usipitwe na matukio muhimu na kumbukumbu za kihistoria kutoka Global TV Online! #GlobalTVOnline #KakaLissu #Maridhiano #SiasaZaTanzania #Maktaba ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com