“TUSALITI MAPAMBANO HAYA? HAKUNA KURUDI NYUMA…” — MNYIKA
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
“TUSALITI MAPAMBANO HAYA? HAKUNA KURUDI NYUMA…” — MNYIKA
1 429 просмотров · 1 день назад
TMC NEWS TV
40,7 тыс. подписчиков
1 429 просмотров · 1 день назад
CHADEMA imesisitiza kuwa hakuna kurudi nyuma katika mapambano ya kudai Katiba Mpya, ikiwataka wanachama na wapenda demokrasia kutokubali kugawanywa wala kuingizwa katika migogoro ya ndani.
Chama hicho kimesema kipaumbele kinapaswa kuwa kupata Katiba Mpya na kuendelea kusimamia madai ya demokrasia, haki, uhuru na uchaguzi wa huru na haki, huku kikisisitiza kuwa msimamo huo haupaswi kubadilishwa kwa taarifa au uzushi unaolenga kuwagawa wanaodai mabadiliko.
“Tusaliti mapambano haya?” — CHADEMA imeweka msisitizo kwamba mapambano ya Katiba Mpya yanapaswa kuendelea bila kurudi nyuma.
TMC NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#TMCNEWS565 #TMCNews #CHADEMA #KatibaMpya #Katiba #Demokrasia #SikuYaDemokrasia #DemocracyDay #Tanzania #SiasaTanzania #Uchaguzi #UchaguziWaHuruNaHaki #Haki #Uhuru #Democracy #TunduLissu #NoReformsNoElection #habaritanzania