POLISI WANAWAKE WALIOSHIRIKI IAWP WAAHIDI KULETA MAARIFA KUBORESHA HUDUMA
Nipashe Digital
0:00 / 0:00
POLISI WANAWAKE WALIOSHIRIKI IAWP WAAHIDI KULETA MAARIFA KUBORESHA HUDUMA
107 просмотров · 1 день назад
Nipashe Digital
6,75 тыс. подписчиков
107 просмотров · 1 день назад
Washiriki kutoka Tanzania katika Mkutano wa 63 wa Shirikisho la Kimataifa la Polisi Wanawake (IAWP) unaofanyika Bali, Indonesia, wameahidi kutumia maarifa na uzoefu watakaoupata kuboresha huduma kwa wananchi.