Перейти к содержимому

HECHE AMCHANA MSIGWA " NI CHANGARAWE ZILIZOWEKWA VIRAKA VYA LAMI"

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

HECHE AMCHANA MSIGWA " NI CHANGARAWE ZILIZOWEKWA VIRAKA VYA LAMI"

1 371 просмотр · 4 дн. назад
TMC NEWS TV
42,4 тыс. подписчиков
1 371 просмотр · 4 дн. назад
Makamu mwenyekiti Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche ameibua mjadala kuhusu ubovu wa barabara nchini, akimtaja Msigwa na kukosoa hali ya miundombinu katika barabara mbalimbali zinazounganisha mikoa. Heche ametaja barabara kutoka Dar es Salaam kuelekea Tunduma, Mtwara, Arusha na Dodoma, akidai kuwa nyingi zina mashimo na kuhoji ubora wa barabara zinazotajwa kuwa za lami. Aidha, Heche amepinga maelezo kuhusu kilometa za barabara zilizojengwa kwa lami, akisisitiza kuwa baadhi ya barabara anazozizungumzia zina changarawe na viraka vya lami TMC NEWS | Shaping The Future Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani. 🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu. 📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni: 📧 tmcnewsmedia@gmail.com 📞 +255 674 075 414 🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia #tmcnews565 #JohnHeche #Msigwa #Barabara #Miundombinu #Siasa #Tanzania #AjaliZaBarabarani #Serikali #HabariZaSiasa#Habari #Dodoma #DarEsSalaam #Tunduma #Mtwara #Arusha