ADO ACHAFUKWA, AMVAA KATAMBI KUHUSU KUTOONEKANA DKT. NCHIMBI | ADAI KUIBURUZA SERIKALI MAHAKAMANI
EastAfricaTV
0:00 / 0:00
ADO ACHAFUKWA, AMVAA KATAMBI KUHUSU KUTOONEKANA DKT. NCHIMBI | ADAI KUIBURUZA SERIKALI MAHAKAMANI
828 просмотров · 1 день назад
EastAfricaTV
1,25 млн подписчиков
828 просмотров · 1 день назад
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, leo ametamatisha ziara yake katika Mkoa wa Kahama baada ya kukutana na wenyeviti na makatibu wa chama ngazi ya mikoa pamoja na kuzungumza na wananchi wa Kata ya Kagongwa.
Katika mkutano huo, Ado Shaibu alizungumzia suala la kutokuonekana hadharani kwa kiongozi wa zamani Dk. Emmanuel Nchimbi, ambaye alijiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais na baadaye kufukuzwa chama cha CCM.