Перейти к содержимому

Richmond, VA, Free Methodist Church ⛪️! Sunday, Service, September 13, 2026

Alex Bukuru

0:00 / 0:00

Richmond, VA, Free Methodist Church ⛪️! Sunday, Service, September 13, 2026

37 просмотров · 10 дней назад
Alex Bukuru
1,53 тыс. подписчиков
37 просмотров · 10 дней назад
Tunawakaribisha 🤗 Tena Nyote Wapendwa Wetu Katika Jina Lake Yesu Kristo Kwenye Ibada Yetu Ya Kila Jumapili, Hapa Kwetu Richmond, VA, Capital City 🏙️. Wapendwa Tunasema Tena Karibuni Nyote Popote mulipo Katika Nchi Tofauti, Mastates tofauti tunasema Karibuni Kwa Mwaka Huu 2026 Kwa Yeyote au Nyinyi Nyote Munatufuatilia, Mchana, Jioni Na Usiku, Kupitia Mutandao Huu Wa YouTube Kila Siku Ya Jumapili ya Ibada Yetu. Tunasema Tena Karibuni Tuendeleye Kwa Kutazama, Pamoja, Mahubiri, Mafundisho Na Masomo Tofauti kwa huu Mutandao wa YouTube. Tunawatakia Nyote Heri Ya Mwaka 2026 Wapendwa Wetu nyote popote mulipo. Karibuni Tena Kwenye Ibada yetu Ya Kila Jumapili, Video Za Kawaida Na Video Za Live Kama jinsi Munavyoona kila Jumpili, Za Mwaka Wa 2026. Karibuni Tufurahie Kwa Pamoja Kwa Kumsifu, Kuabudu, Na Kusikiriza Mahubiri Kwa Nyimbo, Mahubiri kwa Maneno Ya Mungu: Masomo, Mafundisho, Pia Na Mashauli Kwa Kupitia Mahubiri Tofauti kutoka Kwa Watumishi au Wachungaji Wake Mungu Baba Wetu Wa Mbinguni! Musisahau Kufollow, Kushare, Kulike, Kusubscribe na Kucomment, Ili Kazi Yake Mungu Ifike Ulimwenguni Kote, Kwa Watu Tofauti. Tunasema tena Asanteni Sana Wapendwa Wote Kwa Kutazama, Au Kutufuatilia Kwa Kiona Mbali iki Cha Camera 🎥, Pamoja Nasi, kupitia mutandao huu wa YouTube Hii. Kumbuka Follow Zenu Wapendwa Ni Muhimu Kwa Kazi Ya Mungu Baba Wetu Wa Mbinguni Na Duniani 🌍 kote. Tuna Wapenda Nyote Wapendwa Wetu. Lakini Mwenyezi Mungu Baba Wetu Wa Mbinguni Anatupenda Sisi Wote Wanadamu Kwa Pamoja: Ibada Yetu Ya kila Jumapili hapa Richmond , VA, Free Methodist Church: Tunaanza Na Saa: 1:00 Pm, Mwisho Ya Ibada yetu Ni Saa: 4 Pm. Kaeni salama huko katika Nchi zote Duniani. Amani Iwe Kwetu na kwenu nyote wapendwa wetu: 🙏❤️😊🥰! ON ENGLISH: We Welcome You Again 🤗 All Our Beloved In The Name Of Jesus Christ To Our Every Sunday Worship, Here In Richmond, VA, Capital City 🏙️. Beloved We Say Again Welcome To All Wherever You Are In Different Countries, Different States We Say Welcome To This Year 2026 To Anyone Or All Of You Who Follow Us, Day, Evening And Night, Through This YouTube Network Every Sunday Of Our Worship. We Say Again Welcome To Continue By Watching, Together, Sermons, Teachings And Different Lessons On This YouTube Network. We Wish You All A Happy New Year 2026 All Our Beloved Wherever You Are. Welcome Again to Our Every Sunday Worship, Regular Videos and Live Videos Like You See Every Week, For the Year 2026. Welcome Let's Enjoy Together By Praising, Worshiping, And Listening To Sermons With Songs, Sermons With The Words Of God: Lessons, Teachings, And Also Advice Through Different Sermons From The Servants Or Pastors Of God Our Heavenly Father! Don't Forget To Follow, Share, Like, Subscribe And Comment, So That God's Work May Reach All Over The World, To Different People. We Say Again Thank You All Dear Ones For Watching, Or Following Us With The Camera 🎥, With Us, Through This YouTube Network. Remember Your Follows Dear Ones Are Important For The Work Of God Our Heavenly Father In Heaven And On Earth 🌍 Everywhere. We Love You All Our Dear Ones. But God Our Heavenly Father Loves All of Us Humans Together: Our Sunday Service at Richmond, VA, Free Methodist Church: We Start at 1:00 PM, Our Service Ends at 4 PM. Stay safely out there in y’all Countries around the World. Peace to Us & to you all our beloved: 🙏❤️😊🥰! The End of the Words is that If anyone Of You All Beloved want For Support God’s Work Please 🙏Connect Us: $RFMethodistchurch1(804)840-0585! God in heaven will bless you all for y’all Support thank you all beloved ones.