Kesi ya kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu kusikilizwa kesho Jumanne. Katika Dira ya Dunia TV
BBC News Swahili
0:00 / 0:00
Kesi ya kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu kusikilizwa kesho Jumanne. Katika Dira ya Dunia TV
46 102 просмотра · Трансляция закончилась 1 год назад
BBC News Swahili
1 млн подписчиков
46 102 просмотра · Трансляция закончилась 1 год назад
Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho saa nne asubuhi. Mapema hii leo Lissu alifika katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es salaam kwa mara ya kwanza kwa ajili ya usikilizwaji wa awali wa kesi ya uhaini inayomkabili.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili