Mashtaka ya uhaini dhidi ya Riek Machar
BBC News Swahili
0:00 / 0:00
Mashtaka ya uhaini dhidi ya Riek Machar
17 709 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
BBC News Swahili
1 млн подписчиков
17 709 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
Upinzani nchini Sudan Kusini umekashifu vikali mashtaka ya uhaini na mauaji ambayo yanamkabili Naibu Rais wa kwanza wa nchi hiyo Riek Machar, ukisema yamechochewa kisiasa. Kaimu mwenyekiti wa chama cha upinzani cha SPLM-IO Nathaniel Oyet, ameiambia BBC kwamba mashtaka hayo yanakiuka mkataba wa amani uliotiwa saini mnamo 2018.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili