Biashara ya Wakala wa Simu Episode 2 | Usajili, Sheria na Float! #wakala #usajili #float
Tan Business Television
0:00 / 0:00
Biashara ya Wakala wa Simu Episode 2 | Usajili, Sheria na Float! #wakala #usajili #float
869 просмотров · 6 мес. назад
Tan Business Television
33,8 тыс. подписчиков
869 просмотров · 6 мес. назад
Jinsi ya kuanzisha biashara ya wakala wa simu. Umejisemea: Baada ya kutafakari mtaji na eneo la kuanzisha biashara ya simu– sasa unaanza lini?’ Swali sahihi zaidi ni: ‘Nifanyaje kuhusu usajili, sheria na float ya biashara ya wakala wa simu? Leo nakupitisha hatua kwa hatua za kuanzisha biashara ya wakala wa simu – kuanzia karatasi za serikali, mpaka mkataba na kampuni za simu, hadi mpangilio wa float unaozuia kukosa pesa muda wa joto la biashara.”
“Katika episode ya kwanza tulivunja mtaji na eneo. Kama hujaiona, itazame kwanza ili uelewe misingi.
Leo tuko kwenye sehemu ya pili ya mfululizo wa Biashara ya Wakala wa Simu – hapa tunazungumzia:
• Vitu 4 vya kisheria
• Safari ya kwenda kwa kampuni za simu / super agent
• Mpango wa float (cash + e-float) kwa siku nzima.
Karibu sana, endelea hadi mwisho maana tutafanya mpango kamili wa siku ya wakala.”
How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo muhimu ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu.
Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz
Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs