Перейти к содержимому

JERRY SILAA AINGIA SITE KUTATUA MGOGORO, AMBANA MWENYEKITI WA MTAA "TUKIKUTA UMEHUSIKA UTAWAJIBIKA"

Millard Ayo

0:00 / 0:00

JERRY SILAA AINGIA SITE KUTATUA MGOGORO, AMBANA MWENYEKITI WA MTAA "TUKIKUTA UMEHUSIKA UTAWAJIBIKA"

24 346 просмотров · 3 года назад
Millard Ayo
6,19 млн подписчиков
24 346 просмотров · 3 года назад
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingia ‘site’ kwa mara ya kwanza na kutatua mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa muda mrefu katika eneo la wazi lililopo mtaa wa Surungai kata ya Ipagala jiji la Dodoma ambalo lililouzwa kimakosa kwa wananchi na baadae wananchi hao kuzuiwa kuendelea na shughuli za ujenzi. Akiwa hapo Waziri Jerry Silaa ametoa maelekezo kwa viongozi wa serikali za mitaa na vijiji nchini kusimamia maeneeo yote yaliyoainishwa kuwa wazi yabaki wazi “Simamieni sheria isifike wakati tukawaondoa kwenye masuala ya ardhi mnatakiwa muwe waadilifu kwenye masuala ya Ardhi ikitokea kuna jambo limefanyika na mwenyekiti umehusika hilo utawajibika” Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa