Перейти к содержимому

Upasuaji rekebishi unafanywa kwa tija

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Upasuaji rekebishi unafanywa kwa tija

124 просмотра · 1 день назад
UTV Tanzania
185 тыс. подписчиков
124 просмотра · 1 день назад
Kufanya upasuaji wa kubadili muonekano wa kimaumbile umekuwa ukipokelewa kwa mitazamo mchanganyiko hususani kuhusu faida na hasara zake. Hata hivyo Daktari Wa Upasuaji wa Urembo wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dkt Biswalo Yango anaeleza upande mzuri wa upasuaji huo.