Перейти к содержимому

Aliyefariki kwa Ebola aacha maswali Kenya

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Aliyefariki kwa Ebola aacha maswali Kenya

294 просмотра · 2 дня назад
UTV Tanzania
185 тыс. подписчиков
294 просмотра · 2 дня назад
Kufuatia kifo cha mwanachi mmoja wa Kenya, ambaye imethibitishwa amefariki kwa ugonjwa wa Ebola, kumezuka maswali mengi miongoni mwa wananchi wa taifa hilo, wakijiulisa mtu huyo alifikaje nchini humo? Mwanahabari Alex Kiarie amesema mtu huyo ameacha watu wakijiuliza maswali hayo, kuhusu ufikaji wake nchini humo, licha ya kuwepo kwa ukaguzi mkubwa juu ya watu wanaoingia na kutoka Kenya.