Перейти к содержимому

RC MTANDA SHAMBANI KWA MALKIA WA NGUVU JOYCE KABAGO

CLOUDS HABARI

0:00 / 0:00

RC MTANDA SHAMBANI KWA MALKIA WA NGUVU JOYCE KABAGO

2 685 просмотров · 1 г. назад
CLOUDS HABARI
1,96 тыс. подписчиков
2 685 просмотров · 1 г. назад
RC MTANDA SHAMBANI KWA MALKIA WA NGUVU JOYCE KABAGO Mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda ametembelea shamba la mifugo la @lakezone_farm linalomilikiwa na Joyce Kabago mshindi wa tuzo ya Malkia wa nguvu kanda ya ziwa na kuridhishwa na kiwango cha ubunifu na uwekezaji. Mtanda aliyewasili mapema kwenye shamba hilo amesema serikali inatambua mchango wake kawa jamii kama sekta binafsi na ameisihi jamii hasa wenye nia ya kuwekeza kwenye tasnia ya ufugaji kukutana na taasisi za fedha kuwasilisha mawazo yao na kuchukua fursa. Malkia Joyce Kabago aliyewasili nchini Tanzani wiki moja iliyopita akitokea nchini China alikuwa miongoni mwa ujumbe uliopelekwa na Jukwaa la #MalkiaChinaExpossure kujifunza teknolojia ya uendeshaji wa mradi wake. Joyce ni Mjasiriamali anayejishughulisha na ufugaji wa kuku katika Mtaa wa Ilalila Wilayani Ilemela Jijini Mwanza.