Перейти к содержимому

AHADI IMETIMIZWA | HAJI WA HIJA 2026 ATOA MIFUKO 86 YA CIMENTS KWA OFISI KUU YA WAISLAMU BURUNDI

BAMBARA TV

0:00 / 0:00

AHADI IMETIMIZWA | HAJI WA HIJA 2026 ATOA MIFUKO 86 YA CIMENTS KWA OFISI KUU YA WAISLAMU BURUNDI

114 просмотров · 12 дней назад
BAMBARA TV
8,27 тыс. подписчиков
114 просмотров · 12 дней назад
Haji wa Hijja 2026 ametekeleza ahadi yake kwa kutoa mifuko 86 ya ciments kwa ajili ya kuunga mkono ujenzi wa Ofisi Kuu ya Waislamu Burundi iliyopo katika makao makuu ya COMIBU. Saruji hiyo imepokelewa na Naibu Qadhi wa Burundi Sheikh Jamal Swaleh, kwa niaba ya uongozi wa Jumuiya ya Kiislamu Burundi (COMIBU) Mchango huu unaonesha moyo wa kujitolea na mshikamano katika kuunga mkono ujenzi wa taasisi ya Waislamu nchini Allah ambariki Haji huyu amzidishie kheri na amjaalie baraka katika maisha yake. Aamiin.