Darsa la Hadith - Al-Lu'ulu'u Wal Marjan (14052026) - 07
shabibu (AbuMaryam)
0:00 / 0:00
Darsa la Hadith - Al-Lu'ulu'u Wal Marjan (14052026) - 07
8 просмотров · 4 месяца назад
shabibu (AbuMaryam)
100 подписчиков
8 просмотров · 4 месяца назад
Assalaam Alaykum Warhmatullaah Wabarakatuh. Hii ni muendelezo wa Darsa za Quraan tukufu zinazoendeshwa kwa njia ya mtandao (zoom) na kusimamiwa ni Ustadh Suleiman Abdulrahman Mohammed na kuendeshwa ni walimu/masheikh kadhaa. Leo ilikuwa Darsa la Hadith Mtume Muhammad ﷺ kwa kutumia kitabu cha Al' lu'ulu'u Wal Marjan, Mlango wa Iymaan, kuanzia Hadith ya 49" iliyowasilishwa ni Ustadh Suleiman Mohammed Abdulrahman siku ya 14/05/2026
Darsa hili zinafanyika Jumatatu hadi Alkhamis saa 7.30 wakati wa Ramadhani na kila Alkhamis tu nje ya Ramadhan. Ratiba inaweza kubadilika kulingana na wakati. Tumia kiungo kifuatacho kujiunga.
https://us02web.zoom.us/j/81136216978...
Meeting ID: 811 3621 6978
Passcode: DARSA2025
Tukumbuke kuwaalika na kuwashirikisha ndugu kwenye kheri hii kwami Mtume Muhammad ﷺ amesema:
مَنْ دَعَا إِلَى هُدىً كانَ لهُ مِنَ الأجْر مِثلُ أُجورِ منْ تَبِعهُ لاَ ينْقُصُ ذلكَ مِنْ أُجُورِهِم شَيْئًا
na
من دل على خير فله مثل أجر فاعله
Shukran