BARABARA YA ‘FUFU’ (DODOMA - IRINGA) YAFUNGULIWA RASMI BAADA YA UKARABATI
Wizara ya Ujenzi
0:00 / 0:00
BARABARA YA ‘FUFU’ (DODOMA - IRINGA) YAFUNGULIWA RASMI BAADA YA UKARABATI
3 793 просмотра · 11 месяцев назад
Wizara ya Ujenzi
9,24 тыс. подписчиков
3 793 просмотра · 11 месяцев назад
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imekamilisha ujenzi wa barabara ya Dodoma - Iringa eneo la Fufu kwa kunyanyua tuta la barabara lenye urefu wa kilomita 4 na kujenga makalvati makubwa manne uliogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 8.7.
Barabara hiyo imefunguliwa rasmi kuanza kutumika tarehe 16 Oktoba 2025 na Meneja wa TANROADS wa Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Zuhura Amani ambapo ameeleza kuwa ujenzi wa mradi huo wa dharura umezingatia viwango vya ubora ili kuondoa changamoto iliyokuwepo hapo awali ya kujaa maji na kusababisha adha kwa wasafiri na wasafirishaji.