Перейти к содержимому

ULEGA AAGIZA UJENZI BARABARA ZA AFCON KUFANYIKA USIKU NA MCHANA

Wizara ya Ujenzi

0:00 / 0:00

ULEGA AAGIZA UJENZI BARABARA ZA AFCON KUFANYIKA USIKU NA MCHANA

5 606 просмотров · 2 месяца назад
Wizara ya Ujenzi
9,24 тыс. подписчиков
5 606 просмотров · 2 месяца назад
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kujengwa kwa kasi zaidi kwa miradi ya miundombinu itakayohusika na Mashindano ya AFCON ambayo Tanzania itakuwa mwenyeji mwakani. Ulega ameyasema hayo leo mjini Arusha wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mbauda - Losinyai yenye urefu wa km 70 ambayo ni miongoni mwa barabara muhimu kwa AFCON.