Перейти к содержимому

ILE ROHO YA MAFANIKIO NDIO HII SASA | NAMNA YA KUWASHA NURU YA UBORA KATIKA KAZI & BIASHARA ~ Kapola

Hub of Wisdom Inc.

0:00 / 0:00

ILE ROHO YA MAFANIKIO NDIO HII SASA | NAMNA YA KUWASHA NURU YA UBORA KATIKA KAZI & BIASHARA ~ Kapola

1 084 просмотра · 10 месяцев назад
Hub of Wisdom Inc.
142 тыс. подписчиков
1 084 просмотра · 10 месяцев назад
KUsikubali kufanya kazi au biashara kwa mazoea — amsha roho ya ubora ndani yako! 💪🏽 Katika video hii, Kapola anakufundisha namna ya kuwasha nuru ya ubora, nidhamu na bidii katika kazi na biashara zako, ili kila unachogusa kibadilike kuwa mafanikio halisi. 🌟 🎯 Utafundwa kuhusu: Jinsi ya kuibua roho ya ushindi na ubora kazini Nguvu ya tabia bora katika mafanikio Namna ya kujitofautisha kwenye soko la ushindani Sababu kwanini watu wachache tu hufanikiwa 📌 Tazama hadi mwisho ujifunze namna ya kugeuza kazi yako kuwa baraka na biashara yako kuwa mwanga wa mafanikio. 📲 Tunathamini maoni yako. Shiriki mjadala huu katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii: @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media. ..................................................................... Session Credits: Pastor Tony Kapola #Maisha #Motivation #Ubora #Mafanikio #Kapola #BusinessGrowth #Inspiration #TonyKapola #Ndoa #Uchumba #Maisha #Mahusiano #KuionaKesho #Dhambi #Maisha #Wisdom #thewisetz #TonyKapola #TabiaZaMafanikio #Maendeleo #Motivation #SuccessTips