HAMMER Q AFUNGUKA SIRI YA AJALI ILIYONUSURU MAISHA YAKE! MBEYA NI MUUJIZA KWANGU
Global TV Online
0:00 / 0:00
HAMMER Q AFUNGUKA SIRI YA AJALI ILIYONUSURU MAISHA YAKE! MBEYA NI MUUJIZA KWANGU
582 просмотра · 6 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
582 просмотра · 6 ч назад
HAMMER Q AFUNGUKA SIRI YA AJALI ILIYONUSURU MAISHA YAKE! MBEYA NI MUUJIZA KWANGU
Kwenye kipindi cha Kontena kupitia Global TV Online, mkali wa Bongo Flava na Taarab, Hammer Q afunguka mambo mazito kuhusu safari yake ya muziki na maisha yake binafsi ambayo hakuwahi kuyasema popote:
• Siri ya ajali mbaya ya gari ya bendi ya Five Stars iliyogharimu maisha ya watu 13 na jinsi Mbeya ilivyomuokoa.
• Ukweli kuhusu ndoa yake ya miaka minne, changamoto za mahusiano, na shutuma anazodai kuwa zimetumika kama "content".
• Vita ya chini kwa chini aliyopitia kwa miaka 15 kwenye kiwanda cha muziki na kwa nini aliamua kuingia kwenye muziki wa Taarab na bendi.
• Utayari wake wa kurudi upya kwenye gemu, mipango ya kuanzisha studio na bendi yake Zanzibar.
#HammerQ #Kontena #GlobalTVOnline #BongoFlava #ExclusiveInterview
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com