Перейти к содержимому

"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"

BBC News Swahili

0:00 / 0:00

"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"

367 902 просмотра · 2 года назад
BBC News Swahili
993 тыс. подписчиков
367 902 просмотра · 2 года назад
Leonardo @laughs_on_leonardo ni moja kati ya wachekeshaji mahiri na msomi kutoka nchini Tanzania. Mwandishi wa BBC @mcdavid_nkya_ aliongea na @laughs_on_leonardo na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo msemo wa D mbili na wazo la kutumia shati lake maarufu katika vichekesho vyake mtandaoni. Tembelea ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili kutazama mahojiano haya kwa urefu #bbcswahili #tanzania #uchekeshaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili