WIMBO WA “NGUCHANDE” WAZINDULIWA RASMI TARIME
CLEO24 TV
0:00 / 0:00
WIMBO WA “NGUCHANDE” WAZINDULIWA RASMI TARIME
1 374 просмотра · 1 мес. назад
CLEO24 TV
9,61 тыс. подписчиков
1 374 просмотра · 1 мес. назад
Mkurugenzi wa Kampuni ya Soya One LTD amezindua rasmi wimbo wa “Nguchande” ulioimbwa na msanii NERO B, katika hafla iliyofanyika wilayani Tarime, Mkoa wa Mara kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Tarime Meja Edward Gowele.