Перейти к содержимому

MUSA AKASHA SEKONDARI YAJIVUNIA KUFUTA ALAMA SIFURI, WASONGA ATATUA ROBO TATU YA CHANGAMOTO

CLEO24 TV

0:00 / 0:00

MUSA AKASHA SEKONDARI YAJIVUNIA KUFUTA ALAMA SIFURI, WASONGA ATATUA ROBO TATU YA CHANGAMOTO

110 просмотров · 1 дн. назад
CLEO24 TV
9,62 тыс. подписчиков
110 просмотров · 1 дн. назад
Shule ya Sekondari Musa Akasha imeeleza mafanikio yaliyopatikana katika kuboresha kiwango cha ufaulu wa wanafunzi, ikiwemo kufuta kabisa alama sifuri katika baadhi ya maeneo ya kitaaluma.Akizungumza kuhusu maendeleo hayo, Wasonga amesema hatua mbalimbali zimechukuliwa kukabiliana na changamoto zinazoikabili shule hiyo, huku akieleza kuwa tayari robo tatu ya changamoto zimepatiwa ufumbuzi.Tazama video hii kusikia kwa undani