Umaarufu Bila Pesa - MSASA Na Mzee Shayo
MSASA PODCAST
0:00 / 0:00
Umaarufu Bila Pesa - MSASA Na Mzee Shayo
2 686 просмотров · 21 ч назад
MSASA PODCAST
12 тыс. подписчиков
2 686 просмотров · 21 ч назад
Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini nyuma ya pazia, maisha hayana script na kwa asilimia kubwa sana wote tunafanana.
Maxwell Wilfred Machange ni mchekeshaji aliyedumu takribani miaka kumi kwenye kiwanda cha sanaa Tanzania. Tumebahatika kupiga naye stori kuhusiana na uchekeshaji na sanaa kwa ujumla. Kwa kweli, MSASA wake umekaa kama wa mwanataaluma wa burudani zaidi ya mchekeshaji tu. Na wewe mtazamaji, jitahidi kuisikiliza episode hii katika sikio la maisha yako na mihangaiko yako ya kila siku, tunaamini utapata MSASA.
Karibu MSASANI. 🎙️
#MSASAPodcast #MaxwellWilfred #MzeeShayo #SanaaNaMaisha #Vichekesho #ComedyTanzania #ContentCreators #SwahiliPodcast
Host: Hisia
Instagram: @hisiatz
MSASA PODCAST 🎙
Website: https://neiked.co.tz/msasa/
Follow MSASA Podcast on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
Available on all streaming platforms.