Перейти к содержимому

AcademyLIVE | Ukweli Usiosemwa Kuhusu Mafanikio

LENZI | Michael Kamukulu

0:00 / 0:00

AcademyLIVE | Ukweli Usiosemwa Kuhusu Mafanikio

400 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
LENZI | Michael Kamukulu
13,5 тыс. подписчиков
400 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
Watu wengi wanapenda mafanikio, lakini wachache wanaelewa gharama yake halisi. Katika livestream hii tunazungumzia mambo MATANO muhimu ambayo hayatamkiwi waziwazi kuhusu mafanikio, lakini ndiyo msingi wa safari ya kweli ya maendeleo. Mambo Utakayojifunza: 1. Kwa nini mafanikio halisi hayaji mara moja 2. Makofi na followers si sawa na kipato 3. Umuhimu wa kuwa na ujuzi (na jinsi ya kuanza kujifunza) 4. Jinsi mindset yako inavyoweza kukuinua au kukuvunja 5. Ukweli kwamba hakuna njia moja sahihi ya kufanikiwa Usisahau: Subscribe / Follow ili upate livestream zinazofuata Comment “NAANZA” kama uko tayari kuchukua hatua Share na mtu anayehitaji kusikia ujumbe huu 📌 Mafanikio sio bahati, ni matokeo ya mchakato wa kila siku. Karibu tujifunze na tuchukue hatua pamoja.