RC SENYAMULE AWAPA POLE WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MACHINGA
DODOMA RS TV CHANNEL
0:00 / 0:00
RC SENYAMULE AWAPA POLE WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MACHINGA
20 просмотров · 2 дня назад
DODOMA RS TV CHANNEL
1,27 тыс. подписчиков
20 просмотров · 2 дня назад
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Staki Senyamule, ametoa pole kwa wafanyabiashara wa Soko la Machinga Complex jijini Dodoma kufuatia moto uliotokea usiku wa kuamkia Jumatatu, Septemba 21, 2026, na kusababisha kuungua kwa vibanda 20 vilivyokuwa vikitumiwa na wafanyabiashara 40. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, hakuna mtu aliyefariki wala kujeruhiwa, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likifanikiwa kudhibiti moto na kuzuia usienee katika maeneo mengine ya soko