Перейти к содержимому

RC SENYAMULE AWATAKA WANANCHI KUCHUKUA HATUA ZA MAPEMA KUEPUKA MADHARA YA EL-NINO

DODOMA RS TV CHANNEL

0:00 / 0:00

RC SENYAMULE AWATAKA WANANCHI KUCHUKUA HATUA ZA MAPEMA KUEPUKA MADHARA YA EL-NINO

16 просмотров · 1 день назад
DODOMA RS TV CHANNEL
1,27 тыс. подписчиков
16 просмотров · 1 день назад
“Usafi ni wajibu wa kila mmoja wetu. Tuchukue hatua mapema kwa kusafisha mazingira, kufungua njia za maji na kuzuia madhara kabla mvua kubwa za El-Niño hazijaanza.” Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, ametoa wito huo Septemba 22, 2026, wakati akishiriki zoezi la usafi katika eneo la Werunze, Kata ya Manchali, Chamwino. Amesisitiza kuwa usafi na utunzaji wa mazingira ni sehemu muhimu ya maandalizi ya kukabiliana na athari za mvua kubwa, huku akiwataka wananchi kushirikiana katika kujilinda na kuwalinda wengine, hususan watoto, wazazi na walezi. Usafi si wa mtu mmoja. Ni wajibu wetu sote. #Dodoma #FahariYetu #UsafiNiWajibuWetu #ElNino #Tahadhari #Maafa #UsalamaWaJamii #SerikaliKazini