Перейти к содержимому

VIDEO: DOGO PATEN AKITUMBUIZA MASAKI DSM, AWEKA REKODI, MASHABIKI WAPAGAWA NA AFANDE

Millard Ayo

0:00 / 0:00

VIDEO: DOGO PATEN AKITUMBUIZA MASAKI DSM, AWEKA REKODI, MASHABIKI WAPAGAWA NA AFANDE

68 023 просмотра · 1 г. назад
Millard Ayo
6,22 млн подписчиков
68 023 просмотра · 1 г. назад
Ni Headline za Mkali kutokea kwenye kiwanda cha Singeli Tanzania, Dogo Paten ambae umaarufu kwake uliibuka siku chache zilizopita baada ya kufanya collabo ya wimbo na Mwimbaji kutokea kwenye lebo ya WCB, Zuchu. Sasa Mei 11, 2025 amekutana kwa mara ya kwanza mashabiki zake katika chimbo lililopo Masaki 'UNCLES' Jijini Dar es Salaam, wanaokubali nyimbo zake tazama shangwe alilopewa.