Перейти к содержимому

Dada Shimi amesitishiwa kazi kwa kuvunja kanuni ya mavazi ya heshima, akijitetea bosi alimruhusu.

WanawakeLive Tv

0:00 / 0:00

Dada Shimi amesitishiwa kazi kwa kuvunja kanuni ya mavazi ya heshima, akijitetea bosi alimruhusu.

4 065 просмотров · 6 мес. назад
WanawakeLive Tv
101 тыс. подписчиков
4 065 просмотров · 6 мес. назад
Huyu dada Shimi amesitishiwa kazi kwa kuvunja kanuni ya mavazi ya heshima, akijitetea kuwa bosi alimruhusu. Lakini hapa Wadada Center, mlinzi wako namba moja siyo maneno ya bosi, ni Mkataba wako. Tunawafundisha wadada wetu: Eneo la kazi ni eneo la uzalishaji, siyo jukwaa la urembo. Vumilia, jenga nidhamu, kusanya mtaji wako. Ukishamiliki chako, utakuwa na uhuru wa kuvaa unachotaka. Nawakumbusha wadada, ukiwa kazini, heshimu mfumo uliokuweka hapo. #WadadaCenter #UnatakaKulipwaZaidi #WorkEthics #NidhamuYaKazi