Перейти к содержимому

MASKINI WASTARA! Tazama Mguu Wake Ulivyoharibika, Anaomba Msaada

Global TV Online

0:00 / 0:00

MASKINI WASTARA! Tazama Mguu Wake Ulivyoharibika, Anaomba Msaada

313 322 просмотра · 8 лет назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
313 322 просмотра · 8 лет назад
Wastara, 0768666113. Subscribe    / uwazi1   MASKINI WASTARA! Tazama Mguu Wake Ulivyoharibika, Anaomba Msaada Msanii wa filamu za Kibongo, Wastara Juma yupo kwenye maumivu makali kufuatia mguu wake uliokatwa baada ya kupata ajali ya bodaboda miaka kadhaa iliyopita, kuanza kuharibika na kumsababishia mateso makali. Kutokana na kukosa uwezo wa kifedha wa matibabu, msanii huyo amelazimika kuomba msaada kwa wasamaria wemanaweza kujitolea kumsaidia kwa kupitia namba yake ya sim ambapo amesema anatakiwa apate shilingi milioni 37 kwa ajili ya kurekebisha mguu huo ikiwa ni pamoja na kupata mguu mwingine wa bandia. Kwa yeyote aliyeguswa na simulizi hii ya Wastara, au: 0768666113. FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .