DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 16.10.2026 | Mchana| Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 16.10.2026 | Mchana| Swahili Habari leo | Podcast
8 273 просмотра · Трансляция закончилась 15 часов назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
8 273 просмотра · Трансляция закончилась 15 часов назад
Miongoni mwa tuliokuandalia Mchana huu:
-Kongo yapiga marufuku vyama 13 vya siasa kikiwemo kile cha PPRD cha rais wa zamani Joseph Kabila alietangaza kuunda muungano wa kijeshi
-EU yakabiliwa na shinikizo la kufikia muafaka kuhusu bajeti kabla ya uchaguzi wa Ufaransa mwakani
-Wahouthi waishambulia Ikulu ya Aden Saudi Arabia ikiilaumu Iran kwa ongezeko la mzozo nchini Yemen
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.