DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 09.10.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 09.10.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
5 182 просмотра · Трансляция закончилась 4 часа назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
5 182 просмотра · Трансляция закончилась 4 часа назад
Karibu katika matangazo ya Mchana kutoka DW
Ethiopia imeiandikia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikitaka wanajeshi wa Eritrea waondoke mara moja katika eneo lake Addis Ababa
Watu 30 wajeruhiwa katika ajali ya Lori na Basi mkoani Morogoro nchini Tanzania
#Tuzo ya Nobel ya Amani 2026 imekwenda kwa Navanethem Pillay kutokana na mchango wake katika kuimarisha amani na sheria za Kimataifa
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.