Abigail Asukulu-Kanisa La Leo( Official Video)
Abigail Asukulu
0:00 / 0:00
Abigail Asukulu-Kanisa La Leo( Official Video)
2 731 просмотр · 1 год назад
Abigail Asukulu
4,8 тыс. подписчиков
2 731 просмотр · 1 год назад
The Official Video Lyric 'KANISA LA LEO ' performed by Abigail Asukulu.
Available on all Digital platforms:
Watch More Videos:
Subscribe to YouTube Channel
Follow Abigail Asukulu on socials:
Instagram:
TikTok:
Facebook:
Twitter:
For Bookings: WhatsApp/Call +1 (606) 571-3019
Email: abigasuku9@gmail.com
YouTube @AbigailAsukulu
Istagram @AbigailAsukulu
Facebook @AbigailAsukulu
TikTok @AbigailAsukulu
—————
Lyrics:
Mmmmm oh Dunia ya leo imebadilika, waimbaji wa leo wamebadilika
Dunia ya leo imebadilika wachungaji wa leo wamebadilika
Dunia ya leo imebadilika manabii wa leo wamebadilika
Dunia ya leo imebadilika makanisa ya leo yamebadilika
Makanisa ya leo sio kama ya zamani, makanisa ya Sasa pesa ina samani.
Waumini, wachungaji wanatumia dini kama kimvuli kutafutia mali x2
Hakuna tena maombi, hakuna tena kusali, hakuna tena kufunga zote nguvu za giza aaah
Onaa Bwana Yesu tuhurumie, tuhurumie Yesu tuhurumie.
Onaa Bwana Yesu tusahidie, tusahidie Yesu tusahidie.
Kanisa la leo, kanisa la leo, kanisa la leo kweli ni changa moto x2
Wachungaji kwa wachungaji hawapatani kisa waumini wanahama makanisani.
Waimbaji kwa wa imbaji hawapatani vita chini kwa chini na vijembe mitandaoni
Bwana tusaidie Baba, tuhurumie Bwana Eeh Bwana tusaidie, tuhurumie eeeh
Manabii wanaibuka kila ku kicha aaah wakitenda miujiza kwa nguvu za giza aaah wanachotaka nikusifiwa toa ndugu utabarikiwa hadi chumvi tunauziwa hakuna jipya ushirikinaa
Onaa Bwana Yesu tuhurumie, tuhurumie Yesu tuhurumie
Onaa Bwana Yesu tusaidie, tusaidie Yesu tusaidie.
Kanisa la leo, kanisa la leo kanisa la leo kweli ni changa moto x2
Tumwogope Mungu tubadilike tutende mema, tufanye uduma iliyo njema
Wachungaji, waimbaji tubadilikee waumini tubadilikee sote tubadilike
Uduma ya Bwana inafahamika kwa wote haina madungu wala haina masimango, uchawi ushirikina tuaachee tusali, tuombe tufunge soteeeeh
Bwana Yesu tusaidieeieieeeh
Kanisa la leo, kanisa la leo kanisa la leo kweli ni changa moto x2