Перейти к содержимому

ROSE MUHANDO X ABIGAIL ASUKULU MWANGAZA-(OFFICIAL MUSIC 4K VIDEO)

Abigail Asukulu и Rose Muhando Official

0:00 / 0:00

ROSE MUHANDO X ABIGAIL ASUKULU MWANGAZA-(OFFICIAL MUSIC 4K VIDEO)

36 254 просмотра · 9 месяцев назад
Abigail Asukulu и Rose Muhando Official
36 254 просмотра · 9 месяцев назад
#trending ‪@TopTrending‬ ‪@youtubecreators‬ ‪@tiktokcold.‬ #kenyacitizentv ‪@ChurchillTelevision‬ ‪@tiktok‬ #toptrending #gospelmusic #citizentv #newmusic This is the official video for ​MWANGAZA Abigail Asukulu ft Rose Muhando Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: Written & Performed by Abigail Asukulu For Bookings: abigasuku9@gmail.com ‪@rosemuhandoofficial5676‬‪@AbigailAsukulu‬tagram - ‪@AbigailAsukulu‬Toktok‪@AbigailAsukulu‬​⁠— ‪@AbigailAsukulu‬ - ‪@AbigailAsukulu‬MWANGAZA Heee hee hee heiiii Hofu ilinifanya ni kwameee, baraka nisizione kelele zakuambiwa sitawezaa zilinitawala, nikawa kituko mbele zao wasio aminiii, tena walinicheka sana wakisema,Mungu wangu hayupoo Zilipo anza dalili za kuinuka ndipo nika gundua niko salaama, woga ukaniondoka, nika jua yupo mwokozi nitapo kwamaa, Hipo atua zaidi ya mwisho wa safari yangu, ipo nuru zaidi ya mwisho wa kuona kwangu, Kipo chanzo zaidi cha mbele ya ukomo waangu hata pale naposema siwezi, hipo sababu ya ushindi wangu. Mwangaza hupo, hupo hatagiza likitanda, sitochoka kuamini najua Mungu yupo, yupo" na ananipenda. Mwangazaaa hupo, hupo" hatagiza likitanda, sitochoka kusubiri najua Mungu yupo, yupo" na ananipenda. Mkono, mkono, mkono uliyabeba Yaliyo nielemea, taratibu mbele nasonga, ijapokua nachechemea, haa na navuka moto, ilinifike ni nakoelekea; jaribu linachoma kama moto, lakini nyuma sita rejea, atanibembeleza kama mtoto,Wala sitaelemewa, Wala Sina upwekeee, mbele naendelea, malaika wa zamu nitetee adui asinikaribie, asikae barazani achekee, kwa mikono yako nikumbatie, aibu na ziwashike fedheha na ziwaelemee eeeh Mwangaza hupo, hupo hatagiza likitanda, sitochoka kuamini najua Mungu yupo "yupo na ananipenda. Mwangazaaa hupo, hupo" hatagiza likitanda, sitochoka kusubiri najua Mungu yupo, "yupo" na ananipenda. Anajibu kwa wakati, kumuamini sijakosea, lolote halinipati, Baba yupo ananitetea x2 Mwangaza hupo, hupo" hatagiza likitanda, sitochoka kuamini najua Mungu yupo "yupo" na ananipenda. Mwangazaaa hupo, hupo" hatagiza likitanda, sitochoka kusubiri najua Mungu yupo, "yupo na ananipenda x2.