Перейти к содержимому

Fahamu ugonjwa wa kifafa cha mimba

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

Fahamu ugonjwa wa kifafa cha mimba

4 440 просмотров · 5 лет назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
4 440 просмотров · 5 лет назад
Ugonjwa wa kifafa cha mimba ni miongoni mwa magonjwa hatari unao ondoa maisha ya wanawake wengi waja wazito nchini Tanzania. Ugonjwa huu unashika nafasi ya pili kwa vifo vinavyotokana na uzazi, ni miongoni mwa magonjwa yasiokuwa na visababishi maalum lakini madaktari wanaeleza ya kuwa wanawake wanaoshika mimba juu ya umri wa miaka thelathini na tano wapo katika hatari zaidi, Dr Living Colman daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika hospitali ya taifa ya Muhimbili ananuchambua ugonjwa huo.