Перейти к содержимому

Homilia ya kusisimua kutoka kwa Karidinali RUGAMBWA wakati akikabidhiwa kanisa na Papa huko ROMA

Breez Online Tv

0:00 / 0:00

Homilia ya kusisimua kutoka kwa Karidinali RUGAMBWA wakati akikabidhiwa kanisa na Papa huko ROMA

1 147 просмотров · 2 г. назад
Breez Online Tv
93,1 тыс. подписчиков
1 147 просмотров · 2 г. назад
Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Tabora, Kardinali Protase Rugambwa Dominika ya tarehe 18 Februari 2024, amekabidhiwa Kanisa la “Santa Maria in Montesanto”, lililoko kwenye Barabara ya Babuino, namba 198, Roma, kuashiria kwamba, Kardinali Rugambwa sasa ni sehemu ya Wakleri wa Roma, wanaounda Baraza la Makardinali lenye jukumu la kumsaidia Khalifa wa Mtakatifu Petro katika shughuli zake za kichungaji kama Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Roma